Tibu changamoto ya Ganzi, Maumivu ya miguu na Kidonda cha sukari

ndani ya miezi mitatu tuu

Maumivu ya miguu, Ganzi na Kidonda cha sukari ni mtihani sana, huwezi kujua shida zake kama changamoto hizi hazijakukuta. Utajikuta unashindwa kunyanyuka na kutembea vizuri, unashindwa kufanya shughuli zako kama ulivyozoea na hata kukosa usingizi mzuri kwa sababu ya maumivu makali, ganzi iliyochachamaa na kuhisi kama unaungua moto kwenye nyayo za miguu na kuchomwachomwa kama vile unachomwa na sindano

Kama unapitia changamoto hizi na unatamani kuondokana nazo, soma ujumbe huu utakuonyesha hatua kwa hatua jinsi utakavyoweza kuondokana nazo ndani ya miezi mitatu tuu

Kabla ya yote, ni muhimu kufahamu chanzo cha changamoto hizi ili ujue njia sahihi ya kushughulika nazo

Ganzi miguuni na mikononi, Maumivu ya miguu, Miguu kuwaka moto na hisia za kuchomwachomwa kama vile unachomwa na sindano ni changamoto zinazotokana na kuharibika kwa neva za fahamu zinazochukua na kupeleka mawasiliano maeneo ya miguuni

Hali kadhalika kidonda cha sukari kinachochewa na mambo makuu mawili;

Jambo la kwanza ni kuharibika kwa neva za fahamu zinazochukua na kupeleka mawasiliano maeneo ya miguuni, Hii huweza kusababisha kutokugundua sehemu ndogo uliyojikata au kuchubuka na kupelekea sehemu hiyo kuwa kidonda

Na

Jambo la pili ni kuharibika kwa mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye maeneo ya miguuni, na kupelekea damu kushindwa kufika kwenye eneo la kidonda. Ili kidonda kipone ni lazima kipate mzunguko mzuri wa damu yenye oxygen na virutubisho kwa ajili ya kuwezesha uponyaji

Kwa wagonjwa wa kisukari, uharibifu wa neva za fahamu na mishipa ya damu husabababishwa na mashambulizi ya sukari ya muda mrefu kwenye neva za fahamu na mishipa ya damu

Hata hivyo katika matibabu ya kawaida hakuna njia ya moja kwa moja iliyofanikiwa kuondoa changamoto hizi,

Hii ni kutokana na ukweli kwamba hakuna dawa zinazoweza kutibu neva zilizoharibika bali mgonjwa ana nafasi ya kuzuia uharibifu wa neva usiendelee kutokea kwa kuhakikisha anadhibiti ipasavyo sukari yake. Hii humfanya mgonjwa aishi na changamoto zake kwa maisha yake yote huku akilazimika kutumia dawa za ganzi au maumivu mara kwa mara ili kupunguza makali ya tatizo

Kwa upande wa matibabu ya kidonda cha sukari imekua ni mtihani zaidi kwa sababu ya kupungukiwa kwa hisia, hali ambayo inaweza kuchochea kidonda kuendelea kuwa kikubwa bila wewe kujua; Pamoja na kuchelewa kupona kwa kidonda kwa sababu ya kukosa mzunguko mzuri wa damu iliyobeba oxygen na virutubisho muhimu kwa ajili ya kuwezesha uponyaji

Jitihada zinazofanywa na wataalamu wa afya kwenye kuponyesha kidonda cha sukari ni pamoja na kuhakikisha wanazuia maambukizi kwenye kidonda kwa kuondoa tishu zilizokufa, kusafisha na kufanya dressing za mara kwa mara kulingana na ukubwa wa kidonda. Endapo hali ya kidonda itaendelea kuwa mbaya, kukatwa kunaweza kuwa njia pekee ya kumsaidia mgonjwa. Wanaweza kukata kidole, sehemu ya mguu au kukata mguu wote kulingana na ukubwa wa kidonda

Kama unapitia changamoto hizi, Habari hii inaweza kuwa ni habari njema kwako! Inaweza kuwa ni habari inayokwenda kubadilisha kabisa maisha yako.....

Itakuondoa kwenye hofu ya kupoteza viungo vyako kwa sababu ya kidonda cha sukari na pia itakuondoa kwenye changamoto ambazo ungedumu nazo kwa maisha yako yote

Kutokana na changamoto hizi kuwa na ugumu wa kutibika kwa njia ya matibabu ya kawaida, Ndiyo maana tunaitambulisha kwako tiba yenye nguvu zaidi iliyokuja kurudisha tabasamu kwa watu wenye changamoto hizi

Kwa kupitia tiba hii hakuna tena habari ya kuendelea kuteseka na changamoto kama hizi huku ukilazimika kuwa mtumwa wa dawa za kupunguza maumivu na ganzi, wala hakuna tena habari ya kuwa na hofu ya kukatwa sehemu ya mguu wako kwa sababu ya kidonda kisichopona cha sukari

Tiba hii inaitwa STC30 na huu ndio muonekano wake

Imetengenezwa kwa kutumia seli shina za mimea (plant stem cells) ambazo kazi yake kuu ni kwenda kukarabati na kutengeneza sehemu za mwili zilizoharibika

Inafanya kazi kwa kukarabati seli zilizoharibika na kutengeneza seli mpya ndani ya mwili wa binadamu

STC30 itakusaidiaje kutibu changamoto ya ganzi, maumivu ya miguu, miguu kuwaka moto, miguu kuchomwachomwa na kidonda cha sukari?

Unapoitumia, itakwenda kukarabati seli zilizoharibika kwenye mfumo wa neva za fahamu na pia kutengeneza seli mpya za neva ili kuchukua nafasi ya seli zilizokufa. Kwa kufanya hivi itaondoa uharibifu wa neva uliokuwepo na kutengeneza mfumo wa neva wenye afya

Neva za fahamu zilizopo maeneo ya miguuni na mikononi zitakapoanza kurejea katika hali ya afya nzuri zitaweza tena kusimamia jukumu lake la msingi ambalo ni kuchukua na kupeleka mawasiliano ya neva miguuni na mikononi; Changamoto zote ambazo ulizipata baada ya mfumo huu kuharibika zitaanza kuondoka

Changamoto kama ganzi, maumivu ya miguu, miguu kuwaka moto na miguu kuchomwachomwa zitaondoka moja baada ya nyingine kadri mfumo wa neva unavyojikarabati. Utaendelea na matumizi ya tiba mpaka pale utakapojiridhisha kuwa changamoto zote zimeondoka kabisa

Kwa upande wa kidonda cha sukari nacho kitaanza kupata hisia pale neva za fahamu zitakapoanza kutengamaa, hii itaweka urahisi wa kidonda kupona

Vile vile tiba za STC30 zitakwenda kukarabati na kutengeneza seli mpya kwenye mishipa ya damu inayosambaza damu miguuni, hii itasaidia kuboresha uwezo wa mishipa hiyo kufikisha damu maeneo yote ya miguuni. Kidonda kitakapofanikiwa kupata mzunguko mzuri wa damu yenye oxygen na virutubisho muhimu kwa ajili ya uponyaji kitaanza kupona. Utaendelea na matumizi ya tiba mpaka pale kidonda kitakapopona kabisa

Faida za ziada utakazozipata kwa kutumia tiba za STC30

Kwanza; STC30 imetengenezwa kwa namna ambayo inaweza pia kudhibiti ugonjwa wa Kisukari na Presha,

Magonjwa haya ndiyo yanayoongoza kushambulia na kuharibu neva za fahamu pamoja na mishipa ya damu. Hii itasaidia kuzuia uharibifu wa neva za fahamu na mishipa ya damu usiendelee kutokea na kuipa nafasi tiba ya STC30 iweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi

Pili; seli shina zilizopo kwenye tiba za STC30 zinasaidia pia kutibu changamoto nyingine zinazosababishwa na Kisukari au Presha. Kama una changamoto nyingine zinazoletwa na kisukari au presha kama vile stroke, macho au changamoto za ngozi nazo zitapona kwa kutumia tiba hii hii moja

Tatu; seli shina zilizopo kwenye tiba za STC30 zina uwezo wa kuimarisha afya ya viungo muhimu vinavyoathiriwa zaidi na kisukari au presha kama vile figo na moyo hivyo ukiwa mtumiaji wa STC30 itakuokoa na madhara makubwa yanayoweza kuletwa na kisukari au presha huko baadae

Shuhuda hizi ni ushahidi wa wazi juu ya ufanisi wa tiba za STC30

Nakualika uweze kuangalia baadhi ya shuhuda za watu waliotumia tiba zetu.

Kwa upande wa shuhuda za video hakikisha una-stop au kumaliza video moja kwanza ndio ufungue video nyingine ili kuepuka muingiliano wa sauti

kisukari

kisukari, moyo, stroke

macho

magoti, macho, moyo, kisukari

ganzi, maumivu ya miguu

maumivu ya magoti na mgongo

vidonda vya sukari

ganzi

ganzi na maumivu ya mgongo

shuhuda

shuhuda

kisukari

kisukari

kisukari

kisukari

kisukari

Mpaka hapa nadhani unajionea mwenyewe jinsi watu wanavyopata mabadiliko makubwa wanapotumia tiba hii ya STC30

Wengi waliokuwa na maumivu ya miguu, magoti, ganzi, vidonda visivyopona, changamoto za macho, ngozi, stroke, miguu kuwaka moto na viwango vya sukari visivyodhibitika walifanikiwa kupata matokeo mazuri ndani ya wiki chache baada ya kutumia

Mimi, Richard Sunguya nitakusaidia kupata tiba zako na nitafurahi kukusimamia mpaka tuhakikishe tunatatua changamoto zako

Utakaponunua tiba zako utapata jumla ya mambo yafuatayo

Tiba zenye ubora wa hali ya juu. Tiba zilizobadilisha maisha ya wengi, sasa inaenda kuwa ni zamu yako

Nitakupatia mafunzo na muongozo wa vyakula salama kwa wagonjwa wa kisukari na presha bure kama utahitaji

Nitakusimamia mpaka tuhakikishe unapata matokeo mazuri

Free delivery; Kama upo Dar tutakufikishia popote ulipo kwa gharama zetu na kama upo nje ya Dar tutakutumia kwa gharama zetu

Utaratibu wa kupata mzigo wako

Kama upo Dar tunaweza kupanga njia nzuri ya kuonana au ukaomba kuletewa popote ulipo na utalipia baada ya kupokea

Na kama upo nje ya Dar tutakutumia baada ya kulipia

NJIA ZA KULIPIA

M-PESA

0764516820

RICHARD SUNGUYA

NMB

23710020379

RICHARD SUNGUYA

CRDB

0152606034500

RICHARD SUNGUYA

Kama una swali lolote usisite kuuliza

Piga: 0764516820

Au bonyeza hapa chini kuwasiliana watsap

.........................................................

...............................................

.....................................

...........................

..................

...........

....